tatizo la goti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TEAM 666

    Tatizo la goti kukunja

    Habari wakuu MWEZI uliopita katika harakati zangu shambani nikajikata na panga maeneo ya goti nikawaishwa hospital wakanishona nyuzi Tano Hali ya kindonda inaendelea kuimarika ila bado gotiii halitaki kukunja Halii hiii inanitesa sana je nichukue hatua Gani za kitabibu?
Back
Top Bottom