Hello, habari za muda huu! Wapendwa, naombeni ushauri kutoka kwa yeyote aliye na uzoefu na hali kama yangu na jinsi alivyofanikiwa kuondokana nayo. Mimi ninasumbuliwa sana na tatizo la kupata hedhi endelevu; naweza nikableed hata miezi mitatu mfululizo. Kwakweli, napitia changamoto kubwa na bado...