KARIBU KWENYE MJADALA HUU NDUGU YANGU MTANZANIA
Mawazo yako ni muhimu sana katika hii Mada.
Mada: TUFANYEJE KUTATUA TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM MILELE
Toa mawazo yako ili tupate ufumbuzi juu ya tatizo hili
Mchango uwe wa kiufundi zaidi na sio kisiasa
Karibuni
Pia soma: SoC03 - Mwarobaini...
Kwenu Wahusika,
Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya kuingia gharama kubwa kupata maji hayo. Bill yetu ya hivi karibuni inaonyesha matumizi ya maji kuwa sifuri, ikionyesha...
Hivi jamani, sisi wabongo watu wa ajabu sana? hivi ni kwa kuwa hatuelewi majukumu yetu?hivi ni kwa sababu sisi ni wavivu, hivi sisi hatujui kwa nini tumeshika ofisi zetu.hatujui wajibu wetu? Hivi ni mpaka mtu apigwe mkwara wa kufukuzwa kazi, aumbuliwe mbele ya ma-subordinates wake ndipo afanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.