Wasalam mabibi na mababu,
Yaani huwa nashangaa hii kero ya maji iliyopo Mkata - Handen, yani maji ni shida balaa ukiangalia huu mji tayari una Halmashauri, tayari una hospital ya wilaya Kitendo cha kukosa Maji ya uhakika ni fedheha sana.
Yaani wananchi wa nateseka sana na kukosa Maji, wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.