tatizo la maji mwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Mwanza maji yanatoka mara moja kwa wiki tena usiku wa manane au mchana. Tunashindwa kuhifadhi maji ya wiki nzima

    Tunaiomba JamiiForums kutusaidia kupaza sauti kwa idara ya maji MWANZA (MWAUWASA)kwani ni mkoa ambao pamoja na kua na ziwa lakini maji yanatoka Jumatano au Alhamis pekee tena either usiku wa manane au mchana kitu ambacho inakuwa vigumu kwa kila raia kumudu kuhifadhi maji kwa week nzima, na...
  2. T

    KERO Aliyewapiga mkwara Dawasa Dar please tunaomba nenda Mwanza na mikoa mingine.Tumeona matunda within 24 hours

    Hivi jamani, sisi wabongo watu wa ajabu sana? hivi ni kwa kuwa hatuelewi majukumu yetu?hivi ni kwa sababu sisi ni wavivu, hivi sisi hatujui kwa nini tumeshika ofisi zetu.hatujui wajibu wetu? Hivi ni mpaka mtu apigwe mkwara wa kufukuzwa kazi, aumbuliwe mbele ya ma-subordinates wake ndipo afanye...
  3. Roving Journalist

    MWAUWASA: Mwanza hakuna changamoto ya uhaba wa huduma ya maji, mteja mwenye changamoto awasiliane nasi

    Baada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika kuhusu changamoto ya huduma ya maji Jijini Mwanza, mamlaka inayohusika imetoa ufafanuzi. Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Tatizo sugu la Maji jijini Mwanza Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya...
  4. R

    Meneja Mawasiliano MWAUWASA katoa taarifa ya uongo kuhusu kutokuwepo tatizo la maji jijini Mwanza

    Wananchi wa mkoa wa Mwanza hususani wilaya ya Ilemela na Nyamagana tunapitia katika kipindi kigumu cha upatikanaji wa huduma ya maji licha ya mradi mkubwa wa uzalishaji maji kata ya Butimba kukamilika na kuanza kutoa huduma. Baada ya malalamiko kua makubwa amejitokeza meneja wa mawasiliano wa...
Back
Top Bottom