Wakuu habari, nilienda hospitali,
Ila doctor nilivomuelezea kuwa nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo , walifanya x ray, ila haoni kitu, nikapewa dawa za maumivu nitatumia 2 weeks, akasema kam hali itaendelea basi nirudi tena pale.
Ila pia muda mwngine nahisi maumivu hadi upande wa kulia...
Sijui kama nina tatizo la moyo au vipi?
Nina pata maumivu makali katikati ya kifua au kwenye kifua upande wa kushota pale ninapo lalia kifua au kulalia mgongo kwa masaa mengi zaidi.
Au nikinyanyua kitu kizoto Na kukaa chini kwa mda mrefu pamoja Na kusimama kwa mda mrefu. Na maumivu hayo Mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.