Watoto 30 kati 50 waliofanyiwa uchunguzi katika kambi ya siku 10 iliyofanyika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) wamefanyiwa upasuaji wa moyo.
Akizungumza wakati wa kufunga kambi hiyo kwenye makao ya taasisi hiyo, kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI,Dk Tatizo Waane amesema...