Wakuu habari, nilienda hospitali,
Ila doctor nilivomuelezea kuwa nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo , walifanya x ray, ila haoni kitu, nikapewa dawa za maumivu nitatumia 2 weeks, akasema kam hali itaendelea basi nirudi tena pale.
Ila pia muda mwngine nahisi maumivu hadi upande wa kulia...