tatizo la mtandao august 20

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusoma 12

    Leo mtandao wa Internet kwa mitandao ya tigo na Airtel upo chini sana ama kwangu tu wazee?

    Huduma hii imenisumbua tangu asubuhi mtandao upo chini sana kwenye laini yangu ya Tigo ikabidi niweke Airtel napo mtandao wa Internet upo chini sana. Je, wakuu ni simu yangu tu ama na wengine mna experience suala kama langu?
Back
Top Bottom