Habari,
Yapata mwezi sasa nimekuwa nikikumbwa na tatizo la kuwashwa mwili kama nimemwagiwa upupu, hasa mida ya saa tatu usiku ambapo mambo yanakuwa mabaya zaidi na najikuna vibaya mno. Mwanzo, mtoto wangu mmoja alianza na hali hii, kisha ikaenea kwa watoto wote. Walipokuwa wanashindwa kulala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.