Habar wakuu,Nina pikipiki aina ya boxer bm 150 inatatizo moja La kuchelewa hasa ikiwa nimeipaki kwa nusu saa hivi,nimejaribu kwenda kwa mafundi ila wamekuwa wanatoa maoni tofauti tofauti.
Nawasha kwa kutumia kick ila kuna mda nafikiria ninunulie motor starter itakuwa suluhisho LA tatizo au...