Wakuu hii shida inanitesa sana. Hali hii hutokea kila baada ya dakika kama 15 au 20 na hasa nikiwa nafanya kazi yoyote au nikowa natembea tu.
Hali hii pia huambatana na kama kizunguzungu ikiwa nikisimama sehemu moja kwa muda mrefu.
Hii hali ilishanitokea miaka minne iliyopita lakini ilipotea...