WATANZANIA WENGI WANATATIZO LA UELEWA NA UFAHAMU(UPEO MDOGO). HII INAWAPA MWANYA WAJANJA KUWATAPELI KIRAHISI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hakuna Jambo rahisi kama kuwapotosha Watañzania waliowengi. Yàani katika Jambo rahisi Kabisa unaloweza ukalifanya kwèñye nchi ya Tanzania basi...