Nilinunua wifi adapter zinabagua kuunga wifi, mfano nikiwasha hotspot ya simu inaunga lakini nikitumia touter mifi inakataa kuunga inandika cant connect to this network.
Nilitafuta sana solutions kuanzia kununua adapter nyingine ya pili, ku reset network, kusafisha windows, n,k lakini wapi...