Habari wadau,nilipost Uzi kuhusu mwanangu wa Miaka 4 ambae nilieleza kuwa haongei,ni kupiga makelele tu,ana sifa zifuatazo.
1. Anasikia ila ukimuita hakuangalii Wala hashituki,lkn ukiweka mziki asioupenda mfano kwenye simu ama TV ana kasirika na kukufuata au kukupa rimoti au simu uongeze sauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.