tattoo

A tattoo is a form of body modification made by inserting ink, dyes, and/or pigments, either indelible or temporary, into the dermis layer of the skin to form a design. The art of making tattoos is tattooing.
Tattoos fall into three broad categories: purely decorative (with no specific meaning); symbolic (with a specific meaning pertinent to the wearer); and pictorial (a depiction of a specific person or item). In addition, tattoos can be used for identification such as ear tattoos on livestock as a form of branding.

View More On Wikipedia.org
  1. Ila wachambuzi wa Soccer wa bongo😂, mnakumbuka kipind kile Shaffih Dauda alikuwa anatuambia kuwa Rashford jina lake halisi ni Rashid na ni Mtanzania

    Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts. Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori😂
  2. Hegseth, waziri wa Ulinz mtarajiwa U.S: “Nilijitolea kulinda uapisho wa Biden na nikakataliwa kwa sababu ya kuwa na tattoo ya msalaba wa kikristu"

    Jana Pete Hegseth alipokuwa anahojiwa na kamati ya bunge, alisema alitambulika kama mwenye "msimamo mkali" hivyo kukataliwa nafasi hio ya kulinda sherehe ya uapisho wa Rais Biden. Lakini cha kushangaza jeshi la Marekani linaluhusu ushoga wa kupindukia katika uongozi wake.
  3. Mbona kama wazungu kujichora miili yao ni jambo la kawaida sana kwao?

    Nimeona kwenye movie nyingi za kileo wengi sana wamejichora miili yao. Nilidhani labda ni maigizo tu wameamua kutokeza kwa staili hiyo lakini nashangaa hata matukio mbalimbali ambayo ni halisi bado nawaona hawa watu wakiwa wamejichora chora miili Hivi hili jambo lina maana gani kwa wenzetu...
  4. Mwanamke akiwa amechora Tattoo sijisumbui hata kumuomba namba yake ya simu

    Binafsi hii ni moja ya red flag kubwa sana ambayo inaniogopesha toka kwa mwanamke, hii ni kwangu mimi lakini sijajua kwa wanaume wenzangu wanachukuliaje jambo hili. Just imagine mwanamke amechora Tattoo kwenye maziwa au kwenye makalio na sehemu zote hizo wakati anachora Tattoo Artist amezishika...
  5. R

    Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

    Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo...
  6. Ongezeko la mabinti (wanawake) waliochora tattoo sehemu mbalimbali za miili yao, nini tatizo? Haliwezi kuhatarisha makuzi ya mabinti wa kesho?

    Habari ndugu wana jamvi, Leo nimekuja na jambo ambalo linaweza kunipa wasiwàsi kwa namna moja au nyingine. Kama jamii hivi Sasa ,kumekuwa na wimbi kubwa La wadada ,wasichana na wanawake kujichora tatoo Katika miili Yao. Na tattoo hizo mara nyingi uchorwa sehemu ambazo inakuwa rahisi kwa MTu...
  7. Nilijua nimeona vyote mpaka pale nilipoona Msukuma amechora tattoo ya ugali

    Kweli tembea uone kila siku utaona mapya na hutoyamaliza mengine ya kuelimisha kuburudisha na kusisimua hakika dunian ni sehemu ambayo unapata full package kujifunza, kuburudika n.k Mchana mwema ndugu zanguni.
  8. Watu wenye Tattoo ni waongo kinoma

    Anasema kuwa anajuta kuchora Tattoo kwenye mwili wake lakini cha kushangaza ni hataki kuzifuta hizo Tattoos. Wengine sasaivi wamegeukia upande wa dini lakini bado wanazo hizo Tattoos na hawataki kuzifuta. ACHENI UNAFIKI AISEE!
  9. Ogopa sana mwanamke mwenye tatoo, kipini na kikuku kwa pamoja

    Tatoo ni utamaduni kama utamaduni mwengine, na wala sikatai mtu kuchora tatoo kama anaona inafaa hata mimi nimechora ila kwa wanawake kuna mambo nimenote:- Ogopa sana mwanamke mwenye hizi sifa na vitu hivi kavaa kwa pamoja 1. Tatoo zaidi ya moja moja na sanasana ogopa sana mwanamke mwenye...
  10. A

    Wanawake Hawa kujichora tattoo ya Nabii Geo Davie, ni mahaba au kutafuta fursa?

    Hapo chini ni mgongo wa mwanamke kwa Jina la Elizabeth Benjamin aliyejichora tattoo ya Jina la Geo Davie, na kupelekea Ndoa yake kuvunjika. Lakini alipofika kanisani kwa Nabii Huyo aliweza kuvuta mkwanja kama hongera kwa kujichora tattoo hiyo. Na Sasa msanii Amber Rutty Naye amefuata kwa...
  11. SI KWELI Mtu aliyechora tattoo hawezi kabisa kuchangia damu

    Habari Wakuu, Hata hivyo kumekuwa na dhana kuwa mtu anayejichora tattoo hawezi kumchagia mtu damu na sababu za kutokufanya hivyo hazijawekwa bayana zikaeleweka Je, ni kweli kwamba mtu aliyechora tattoo hawezi kuchangia damu? Na kama ni kweli zipo ni sababu za kisayansi ya kushindwa kufanya hivyo?
  12. DC wa Pangani atupia tattoo ya mumewe mubashara

    DC wa Pangani amezua gumzo baada ya kuonekana na tattoo ya mumewe hadharani. Ikumbukwe mumewe ni Mbunge wa Pangani na Waziri mwandamizi. Unampa asilimia ngapi DC wa Pangani kwa tattoo hii
  13. Baadhi ya 'madada poa' nchi za nje wanatumia tattoo zenye QR code kufanyiwa malipo ili kuepukana na wateja wezi

    Hello bosses and roses... Kwenye harakati zangu nimesikia matumizi ya teknolojia ambayo yameniacha mdomo wazi kwakweli, moja wapo ni hili. Kuna rafiki yangu yupo huko nchi za watu alinambia kwamba huko madada poa wameacha kupokea cash sababu wateja wengine ni wezi, hivyo wanachofanya wanakua...
  14. S

    Mwanamke ukijichora tattoo, huolewi "ng'o!

    Tattoo zina tafsiri chanya huko majuu, lkn siyo hapa Bongoland. Watu wengi wanatafsiri tattoo kama uhuni (wezi, makahaba na maraibu wa madawa ya kulevya). Hakuna mwanaume atakuoa mwanamke uliyechora tattoo kwenye mapaja, sehemu za siri, kwenye titi, mabegani ama mikononi. Haya yote ni maeneo...
  15. Tattoo zinamaanisha kumilikiwa na mtu au kitu fulani

    Tattoo sijui maana yake nzuri kwa Kiswahili ila ni michoro/picha mbalimbali zinazochorwa kwenye mwili wa binadamu kwa malengo mbalimbali wako wenye wamechora tattoo za Simba, Nyoka, Msalaba,wapenzi wao...nk Tattoo kwa kifupi inamaanisha i Belong to/mimi ni mali ya mtu fulani au kitu flani au...
  16. Inakuaje wazazi wenye tattoos mwili mzima wanazaa Mtoto asiyekuwa na tattoo hata moja?

    Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo. Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
  17. Ujana haudumu, kuchora tattoo kunaweza kukugharimu sana maisha yako ukubwani

    Huwa nawaonea huruma sana vijana wadogo wanaochora tattoo kuona ni ujanja ama kufuata mkumbo... kwa nchi kama ulaya na marekani tattoo sio shida hata kidogo, ila kwa hapa bongo hali ni tofauti kabisa. kwa mitazamo ya jamii zetu, mtu akisha chora tatoo basi heshima yake inapungua pakubwa mno...
  18. Tattoo ya Hayati Magufuli kwenye mguu wa Harmonize

    Huyu konde boy alimkubali sana JPM kama watanzania wengi walivyomkubali hadi akaamua kuchora bonge la tatoo mguuni Konde boy sio msaliti kama vijana wengi walianza kumnanga JPM alipofariki . Hii picha alipiga juzi kwenye Tuzo za kilimanjaro, ambapo alichukia Tuzo tatu USSR
  19. Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

    Tukubali tukatae, ukiona mtu ana tattoo yoyote ujue ni matokeo ya malezi mabaya. Tattoo ni ishara ya mtu kutokujijali, kutojali afya wala thamani ya mwili wake na pia kutokutumia akili sawasawa. Ndio maana China kwa ajili ya kulinda kizazi cha sasa na kizazi cha baadae imepiga marufuku...
  20. Madhara ya kuchora Tattoo Mwilini

    Tattoo ni nini? hii ni uwekaji wa wino kwenye ngozi ya ndani kitaalamu kama dermis kubadilisha rangi kabisa ya maisha yako yote au kwa muda tu, inategemea na uwekaji.. kwa dunia ya sasa kujichora tatoo ni kama fasheni fulani kwenye jamii, ukienda kuchora tattoo kuna uwezekano mkubwa sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…