1. Mkulima anayekwenda shambani kulima akitegemea mvua ambayo haiko ndani ya uwezo wake anabeti.
2. Mfanya biashara anayenunua maparachichi na nyanya kwa mkulima akitegemea kuuza kwa mteja ambaye hamjui anabeti.
3. Serikali inapopitisha bajeti ya mwaka ujao wa fedha na kupanga matumizi ya fedha...
Habari wakuu.
Mh. Makonda ujapo Arusha kuanza kazi rasmi tunaomba uanze na tatu mzuka. Hawa vijana wameharibu sifa ya mkoa wa Arusha. Mitaa ya uwanja wa ndege mpaka kisongo hakufai wanakupiga tukio mpaka mchana kweupe. Tafadhali sana nusuru sifa njema ya mkoa huu.
Nawasilisha.
Asante
Huu mchezo ambao mara nyingi nimekuwa nikiutazama ITV umenipa mashaka. Mara nyingi washiriki hupata milioni tano kurudi chini.
Kumbuka hapo Kuna milioni 50, 60 hadi 70.
Cha ajabu watu hawashindi hela hizo nyingi. Jamaa anachokifanya baada ya kufunga mchezo anachomoa vile vibao vyenye hela...
Habari wakuu, nahitaji kujua hivi hii michezo ya kubahatisha wamiliki ni akina nani manake imeibuka kuwa mingi sasa.
Na pesa wanayokusanya inaweza kuwa nyingi hivi au kawaida? Pia huwa inaendeshwaje kwa maana ya kuchagua namba na mambo mengine.
Hawa jamaa nimewaangalia kwa ukaribu wanavyoendesha bahati nasibu yao. Watu hawa huwa na namba tatu za bahati, kinachonishangaza ni kuwa kila wakati huwapigia simu watu wawili tu wakati wanasema kuwa namba za bahati zinakubalika kwa arrangement yoyote.
Sasa chukulia namba za bahati ni 658, hizi...
Tatu Mzuka mtangazaji alikuwa Mussa Hussein alikuwa anaipambia balaa kwamba weka namba zako tatu za bahati ili ushinde mamiliioni, Sijajua kama bado inaendelea.
Naona wamerudi tena kwa style nyingine na mtangazaji ni yuleyule Mussa Hussein, sasa hivi wapo kwa jina la Mnada Poa. Unatuma hela...
Hawa watu wanajitahidi sana kubuni mbinu tofauti tofauti ili wazipige hela za watu(UTAPELI)
Na wanatumia media kwa nguvu kubwa.
WANAKERA SANA. KUNA WENGINE WANATUMIA MEDIA KAMA ITV KUANZISHA KIPINDI KUJIELEZEA WAMEFANYA NINI MIAKA MITANO. TENA WAKATI HUU wa uchaguzi.
Media hizi zinatumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.