Jana nimekaa nikatafakari sana;
Hivi ni nani anayesemaga kwamba waafrika hawajagundua chochote cha maana?
Isije ikawa cha maana anachokiona yeye ni mawasiliano tu, sijui na kupaa au kurusha vitu angani😢
Kimsingi ugunduzi huwa unatakiwa kutatua changamoto ya watu husika kwanza kabla haujafika...