TAUHIDA GALLOS AWATAKA WANAWAKE NCHINI KUJITATHIMINI ILI KUWA BORA ZAIDI KIUTENDAJI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhid Gallos Nyimbo amewataka Wanawake nchini kujitathimini kutokana na nafasi walizonazo ili waweze kujua hatua walizofikia kwa lengo la kuwa bora zaidi kiutendaji...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo akiwa Wilaya ya Magharibi A tarehe 06 Machi, 2025 amewataka Wazazi na Walezi kuwashajihisha Vijana wao kutumia vizuri mitandao ya kijamii ili kujipatia kipato.
Mbunge Tauhida Gallos Ameyasema hayo mara baada ya kukabidhi...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo (MNEC) ambaye pia Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi tarehe 25 Februari, 2025 amekutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Majimbo ya Mkoa wa Magharibi ili kuhamasisha Wananchi kujitokeza...
Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa hata aondoke nani bado chama cha mapinduzi kitaendelea kuwa imara.
"Hakuna kiongozi anayeweza kukiteteresha hiki chama hata uone anapendwa vipi"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa dunia inapaswa kuangalia mfumo wa chama cha mapinduzi kama mfano katika uongozi kwani chama hicho kina sifa za kipekee
Sasa kwa la ajabu gani lilifanywa na CCM hadi watizamwe kama mfano?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi Kichama, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewataka Wanachama wa UWT kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la kudumu la wapiga kura linaloendelea.
Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kukagua zoezi la Uandikishaji wa...
MBUNGE TAUHIDA GALLOS: WAJASIRIAMALI SHIRIKIANENI NA KUBUNI MBINU
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi Mhe.Tauhida Gallos amewataka wajasiriamali kushirikiana na kubuni mbinu mbalimbali zitakayoweza kuwaletea maendeleo katika familia zao.
Mhe. Tauhida ameyasema hayo huko Mazizini mara...
MADAKTARI FANYENI KAZI KWA BIDII, UPENDO NA HURUMA: MBUNGE TAUHIDA
Madaktari wa Kituo cha Afya KVZ Mtoni wametakiwa kufanya kazi kwa bidii, upendo na huruma ili kujenga Imani na wateja wao.
Mbunge wa viti Maalum Mhe. Tauhida Galls amesisitiza hayo katika Hospitali ya KVZ Mtoni Mara baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.