taulo

Ville Taulo (born 14 August 1985 in Lahti) is a Finnish footballer, who represents HIFK Fotboll in the Finnish Veikkausliiga.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Tuliwaambia kuwa bodaboda na Bajaj sio kazi mkabisha. Sasa ingia mjini na bodaboda yako ndipo utajua kuwa bodaboda ni taulo la chama pendwa

    Sasa bodaboda au Bajaj hawaruhusiwi hata kuonyesha pua mjini maeneo maalumu yaliyotengwa. Ukipenyapenya kwa ujanja ujanja ukidakwa utajuta kwanini ulizaliwa. Oyaa tafuteni kazi nyingine. Kufa kama nzi mnakufa Bima ya afya hamna Michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hamna . Amkeni.
  2. Etugrul Bey

    Haya Yakitokea Chadema Mnarusha Taulo Ulingoni

    Hakika wanachadema mpo kwenye wakati mgumu kuliko wakati mwingine wowote ambao mmepitia kama Chama Kuna viongozi wengi na wanachama wenu wengi wameondoka kutokana na sababu moja au nyingine lkn naweza sema halikuwashtusha kama ambavyo litawashtusha hili ambalo litatokea sasa hivi Ni wazi...
  3. Loading failed

    Wanawake wengi wanadanga ili wapate hela ya kununua taulo za kike

    Ndugu zangu Japo wapo wanawake wanao danga kwa tamaa zao binafsi ila wimbi kubwa la wanawake na mabinti wadogo wadangaji linalojitokeza ni kwasababu ya kukosa hela ya kununua Taulo za kike (ped) na nguo za ndani kutoka kwa waume zao, wazazi au walezi wao ili kujisitiri pindi anapoingia kwenye...
  4. M

    Ogopa sana binti wa namna hii: Ukimfikisha gesti anavua nguo zote na kuvaa taulo

    Ukiona hivyo tu tambua huyo ni mzoefu wa kuvushwa. Kama huna kondomu aihirisha kupiga. Muombe samahani kila mtu ale kona.
  5. N

    Kampuni ya Sukari yachangia taulo za kike wilayani Kilombero

    Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Cane Growers wakionyesha maboksi ya pedi za kike zilizotolewa na Kampuni ya Kilombero Sugar leo wilayani Kilombero. Mchango huu, ambao ni sehemu ya mpango wa 'Kukomesha changamoto ya hedhi salama, unaonyesha dhamira ya kampuni hiyo katika kuendelea kupambana na...
  6. Metronidazole 400mg

    Watoto wa kiume wanatumia taulo za kike kupitisha vilevi kwa njia ya haja kubwa

    Duuh nimeona hii taarifa nimeshtuka Sana na kusikitika.... Ama kweli duniani inaelekea ukingoni Source:EFM (Joto la asubuhi )
  7. Z

    SoC04 Upatikanaji wa taulo za kike(ped) bure kwa mabinti mashuleni

    Upatikanaji wa Taulo za kike (ped) bule Kwa mabinti kuanzia shule za msingi Hadi kidato cha Sita Serikali haijaingiza swala la upatikanaji wa Taulo za kike Kwa wanafunzi kama kipaumbele kimojawapo cha Afya kwenda sambamba na Elimu inayotolewa bule UTANGULIZI Swala la hedhi nila kibiolojia ni...
  8. Pfizer

    Taasisi ya Victoria Foundation yakabidhi taulo za kike kwa shule 25 Mkoani Geita

    Taasisi ya Victoria Foundation kwa kushirikiana na Orica Tanzania inatekeleza mradi wa hatua kwa hatua uitwao Binti Ng'ara, kwa ajili ya kumsaidia mtoto wa kike kupata taulo za kike za kumuwezesha Binti aweze kwenda shule wakati wote hasa wa siku zake za Hedhi. Katika hafla ya Ugawaji wa Taulo...
  9. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 2.6 Zimetengwa Kwaajili ya Kugharamia Taulo za Kike

    NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2023/24 Serikali ilitenga Sh Bilioni 2.64 kwa ajili ya kugharamia taulo za kike ambapo kati ya fedha hizo Sh bilioni 1.06 ni za ruzuku ya uendeshaji na Sh bilioni 1.58 ni fedha kutoka mapato ya ndani ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Santiel Kirumba agawa taulo za Kike, Mashuka na sukari zahanati ya Bulige katika Maadhimisho ya Wanawake Duniani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Kirumba ameongoza wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani huku akigawa taulo za kike na madaftari kwa watoto wanaotoka katika mazingira magumu, kugawa sabuni na sukari kwa wanawake wajane...
  11. sky soldier

    Taulo langu la dukani linaacha pamba kwenye nywele nikijifuta, ni taulo zipi nzuri za dukani hazina hali hii

    Yani nikitoka kuoga nikijifuta kichwani nywele zinabaki na vipamba vyeupe na ni vigumu sana kutoka. Kwa mataulo ya mtumba mimi niliyashindwa, yani nikifikiria tu kwamba mtu kalitumia kujifutia kwenye mfereji wa mabonde kwa muda mrefu napata kinyaa. Ni mataulo yapi ya dukani specific ni mazuri >
  12. Melki Wamatukio

    KWELI Upo uwezekano mdogo wa Mwanamke kupata ujauzito akisafisha uke kwa taulo yenye Shahawa

    Ikatokea mwanaume amemwaga manii kwenye taulo ambalo muda mchache baadae mwanamke akalitumia kukaushia uke wake. Kuna uwezekano akapata ujauzito kupitia taulo hilo?
  13. O

    Edo Kumwembe: Mbona Jonas Mkude amerusha taulo mapema hivi?

    Kuna kitu kimepita hapa katikati halafu tunaona kawaida. Jonas Mkude hakuitwa katika kikosi cha timu ya taifa. Tumeona kawaida kumbe ni jambo ambalo kama ingekuwa kwa Waingereza wangelichambua kwa kina zaidi. Najisikia kulichambua jambo hili. Kwanza kabisa hakustahili kuitwa kwa sababu hata...
  14. BigTall

    Askari Wanawake Mbeya watoa zawadi ya taulo za kike, sabuni na vifaa vingine kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Msingi

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Askari Polisi Wanawake Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Afisa Mnadhimu namba moja Mkoa wa Mbeya ACP Christina Musyani, Machi 06, 2023 amewaongoza Askari Polisi Wanawake Mkoa wa Mbeya kuwatembelea na kutoa zawadi kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Msingi zilizopo katika...
  15. S

    Wananchi tuwe makini tunapochagua viongozi. Huyu anayejipiga picha na taulo naye alikuwa Diwani?

    Tuchague watu wenye maadili mema katika jamii. Huyu mtu anautafuta uzee lakini anafanya mambo ya mtoto wa darasa la 3. Vipi alipokuwa chini ya umri wa sasa akili yake ilikuwaje? Huyu jamaa aliwahi kuwa Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma. Najiuliza, wananchi waliona nini cha...
  16. BARD AI

    Rais wa Sri Lanka afuta kodi zote kwenye Taulo za Kike

    Uamuzi huo umefanywa kwa lengo la kuwasaidia wanawake na wasichana wasioweza kumudu gharama hizo kutokana na mzozo wa kiuchumi unaolikumba taifa hilo. Ofisi ya Rais Ranil Wickremesinghe imeagiza kufutwa mara moja kwa Ushuru wa Forodha, Ushuru unaolipwa kwenye Viwanja vya Ndege na Kodi nyingine...
  17. Tuelimishanee

    Waandishi wa habari Dar walia na kampuni ya HQ kuwapa taulo zilizokwisha muda wa matumizi

    Na Mwandishi wetu, Dar Kampuni inayozalisha taulo za kike ya Human Cherish (HQ), Desemba 8, 2021 ilifanya Mkutano na waandishi wa habari kwa lengo la kutangaza uboreshaji wa huduma za kampuni hiyo,Sambamba na kugawa bidhaa hizo kwa waandishi waliokuepo katika Mkutano huo. Katika hali ya...
  18. Shujaa Mwendazake

    Wanawake wa CHADEMA walio Mahabusu wanyanyaswa, wanyimwa taulo za kike za kujistiri

    Hadi muda huu uongozi wote wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Taifa uko mahabusu. Rais Samia hawa ni wanawake wenzake na kwa asili yeye ametokea katika NGOs za harakati hadi kuingia katika siasa. Samia Ni Mwanamke pekee uliyefika katika Mkutano wa Beijing kutetea wanawake. Hili la kunyimwa...
Back
Top Bottom