Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida amesema Serikali inaendelea kufanya maboresho makubwa ya Kisera na Kisheria ili kujenga mazingira mazuri ya kuvutia uwekezaji nchini.
Dkt. Kida, amesema hayo leo Februari 26, 2024 Jijini Dar es Salaam alipofanya kikao na Joy Basu...