Rais William Ruto akanusha kwenye runinga madai kuwa atatawala Kenya kiimla kutokana na jinsi baadhi ya watu wa nchi hiyo, hasa waliokuwa wakipinga juhudi zake za kuwa Rais wanavyodhania.
Asema ataongoza taifa bila kisasi na kuepuka matumizi ya mabavu.