Juzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo kuhusiana na la laini yangu Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila hata excuse yoyote..ni kwanini watu wanakuwa hivi?..
Ni viburi vya nafasi au vipi?
Yaani tulihama bank yetu pendwa ya wananchi tukitegemea huduma zenu no professional and timely lakini baada ya kupata wateja wengi mmekuwa mzigo. Mtu unakaa masaa matatu kutoa au kuweka hela tena katikati ya week.
Ingekuwa Jumatatu tungesema sawa lakini J5, Alhamis na Ijumaa foleni ndefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.