Yaani tulihama bank yetu pendwa ya wananchi tukitegemea huduma zenu no professional and timely lakini baada ya kupata wateja wengi mmekuwa mzigo. Mtu unakaa masaa matatu kutoa au kuweka hela tena katikati ya week.
Ingekuwa Jumatatu tungesema sawa lakini J5, Alhamis na Ijumaa foleni ndefu...