tayari

Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.

View More On Wikipedia.org
  1. Kujiajiri/Ujasiriamali ni homa ambayo ikikushika haitoki, ila wahitimu wengi vyuo vikuu wana chanjo tayari!

    Graduates wengi tunachanganywa na vyeti vyetu na zile picha za majoho kwamba tukimaliza tunategemea kwenda kufanya kazki katika shining new office, tupige picha na kupost kuonyesha colleagues kwamba tumefanikiwa. Hii inatokeo kwa baadhi ya watu wanabahatika wanapata kazi mapema na wengine ndio...
  2. Kwa mara ya kwanza Putin asema yuko tayari kwa mazungumzo ya kumaliza vita

    Anasema Zelensky ndiye amekataa kumskliza wayamalize, huyu huyu Putin aliyempa Zelensky masaa 24 aihame Ukraine, huyu huyu aliyesema atakayeisaidia Ukraine asubiri kipigo, huyu huyu aliyegoma kupokea simu za Zelensky siku za mwanzo mwanzo, amefika mwisho, hali imemzidi, sasa amegeuza kibao na...
  3. S

    Feit toto asipangwe mechi yoyote kwa sasa hata akiwa tayari kucheza wakati swala lake linashughulikiwa

    Huu ndio ushauri wangu kwa kocha na uongozi mzima wa Yanga. Yanga mtakeni Fei na Azam wafuate taratibu kisha mumuruhusu aende zake huyu hawezi tena kuitumikia club ya Yanga kwa moyo kwani hata mkimuongeza mshahara, kesho anaweza kushawishiwa kwa mshahara mkubwa zaidi hivyo atawasumbua tu...
  4. Balile atamba niko tayari Kufa

    MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri, Deodatus Balile amesema yuko tayari kufa lakini hatoacha kuendesha mapambano ya kulinda Mto Ruaha dhidi ya wakulima na wafugaji walioko kwenye eneo hilo. Balile anasema yuko tayari kufa baada ya kupokea vitisho vingi baada ya kutaja familia 12 zinazoharibu Mto...
  5. Mkakati wa mama mwenye nyumba kushinda uchaguzi mkuu wa 2025 kwa 95% huu hapa umeshawiva tayari

    Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi. Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa kukitia chama chake mwenyewe mfukoni, na kuwadhibiti wale wote waliokuwa na ndoto ya kutaka kupimana...
  6. Akili za watanzania wengi bado hazipo tayari kupata maendeleo

    Sijui shida ni elimu au vip. Mfano mdogo sana nilijaribu kwenda kununua kiwanja maeneo mawili tofauti katika mikoa miwili tofauti. Kilichonishangaza ni kwamba, unakuta muuzaji wa kiwanja, au mmiliki amegawa hivo viwanja kwa style ambayo mpaka unaweza kujiuliza 'hivi huyu mtu ni kichaa?'...
  7. Je, Wajua Barua ya kujiuzulu kwa Papa Francis iko tayari tangu mwaka 2013?

    Kiongozi huyo wa Kanisa la Katoliki lenye Waumini zaidi ya Bilioni 1.3 alisaini Barua ya Kujiuzulu baada tu ya kuteuliwa kushika Wadhifa huo na inasubiri tu augue kiasi cha kushindwa kutekeleza Majukumu yake ili aondoke Madarakani. Papa Francis aliyetimiza miaka 86 Desemba 17, 2022 aliikabidhi...
  8. Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

    Bwana Yesu asifiwe? Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka, uponyaji, Rehema na Mambo...
  9. Tayari nimetoa mahari ukweni

    Saludo senora y senor Wakuu sio kwamba naongea kujisifu au kuwalinganishia? Hapana la hasha nataka niwamotivate vijana wa ki leo au wa kisasa kuhusu suala la kuoa wakuu! Kwanza nishukuru hili jukwaa hili la MMU kuweza kupata mke wangu kipenzi miss A kiukweli wakuu kwa hapa nilipofikia hauwezi...
  10. N

    Rais Samia yuko tayari kufanya kazi pamoja na wapinzani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freemen Mbowe katika mkutano wa CHADEMA alisema kuwa aliandika barua kumuomba Rais Samia Suluhu kufanya maridhiano ya kitaifa wakiamini ni njia sahihi ya kufanya kazi na kujenga nchi na Rais Samia alijibu barua hiyo ndani ya siku 3 alilidhia ombi hilo. Pamoja na kuwa na...
  11. Mwanamke akiniacha ni kama tu nimetupa chupa ya maji ambayo tayari nimeyanywa

    Iko hivyo. Mimi sina kabisa muda wa kulia lia eti kisa demu ameniacha. Mimi sina hizo habari za kulazimisha eti demu anipende,sina huo muda kabisa. Mimi demu nikishamla hapo ni yeye ndo ataamua kama tuendelee au tumwagane. Demu tuliyejuana ukubwani akiwa ametunguliwa mishale kibao kwangu...
  12. Prof. Mkenda: Tuko tayari kwa mjadala wa kitaifa kuhusu Mapendekezo ya Sera ya Elimu na Mitaala

    Mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na Mitaala ya Elimu Msingi yamekamilika na yanasubiri mchakato wa ndani ya Serikali ili kupata ridhaa ya rasimu zilizoandaliwa kupelekwa kwa wadau kwa mjadala wa kitaifa. Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa...
  13. RC Makala: Kufuatia kuongezeka kwa maji Mto Ruvu, Dar hakuna tena mgao wa maji

    RC MAKALA: HAKUNA TENA MGAO WA MAJI DAR Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amosi Makala amesema kuwa mgao wa maji uliokuwa unaendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani hautakwepo tena kufuatia kuongezeka kwa maji kwenye chanzo cha Mto Ruvu ikiwa ni matokeo ya mvua zinazoendelea kunyesha kwenye...
  14. Serikali iitupie jicho kali MVIWATA na viongozi wake, tayari wamejibainisha kuwa na ajenda ya chinichini ya kisiasa

    Bila shaka MVIWATA Wana ajenda ya kisiasa, na Wana Wana Siasa wao ambao wanaitumia taasisi hiyo kwa malengo ya kisiasa ya kuharibu amani na utangamano. Taasisi hii inawatumia wakulima kama chambo tu, na inajifanya kwamba ni taasisi ya wakulima, kumbe ukiiondolea blanket(lifting the veil)...
  15. Nipo tayari kujitolea gharama za matibabu ya akili kwa mkurugenzi wa Tanesco Kariakoo CBD

    Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
  16. Only in Tanzania, tuko tayari kupiga kelele Bar zikeshe ila sio huduma nyingine.....

    Kuna mambo yanafikirisha sana. Watanzania (baadhi) wako tayari hata kuandamana kugomea Bar zisifungwe ila sio huduma nyingine za msingi. Leo hii eti mabenki yote yanafungwa jioni kuanzia saa Tisa na nusu, only NMB na CRDB pengine na NBC kwa pale Mlimani City na baadhi ya maeneo. Kwahio kama...
  17. K

    Kipi kimewafanya wadada kuwa tayari kuolewa upesi upesi?

    Unaweza fikiria kuwa natania lakini hii ndio hali halisi kwa sasa, wadada wamekuwa wepesi sana wa kukubali ofa za kuolewa tofauti na hapo awali Sasa hivi kama geto kwako una kitanda, godoro, jiko gesi na henka za kutundikia nguo hukataliwi kabisa kuoa /kuwoa tena na pisi kali kinoma ambazo...
  18. Kama Yanga SC ama itafungwa au hata kutoka Sare na Club Africaine Kesho, tayari Kocha Nabi ameshatoa Utetezi Leo

    "Nchi zingine zote Vilabu vyao vikiwa vinashiriki Michuano ya Kimataifa huwa hawachezi Ligi Kuu zao mpaka wazimalize ila kwa hapa Tanzania ni kinyume hivyo sijui Kesho itakuwaje kwani tuna Majeruhi wengi muhimu Kikosini" Nasredinne Nabi Kocha Mkuu wa Yanga SC. Chanzo: Spoti Leo ya Radio One...
  19. H

    Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

    Rwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi wa Rwanda kwa madai ya DRC kwamba serikali ya rais Paul Kagame inawaunga mkono waasi wa M23. Msemaji wa serikali ya Rwanda, Alain Mukurarinda amesema kwamba “wakiamua...
  20. I

    Je, baada ya kupata pigo kwenye vita vyake na Ukraine, sasa Russia iko tayari kutafuta muafaka?

    Baada ya kupigana vita vikali kwa zaidi ya miezi minane tofauti na walivyotegemea, inaonekana sasa Russia wanaweza kuwa tayari kutafuta muafaka wa namna ya kuweza kumaliza hivi vita. Inaonekana vilevile kwamba Russia wanakiri kwamba hawataweza kufikia malengo yao waliojiwekea kufuatia matokeo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…