Hi guys,
Natumaini mmekuwa na J'pili njema na yenye baraka..!
Nakumbuka miaka ya nyuma ndiyo najifunza funza kupika maskiini, siku hiyo nikaambiwa nipike uji tena wa ulezi bhaana bhaana, nikatoa una madonge kama vichwa vya ndege, nilivyo 'phaller special' eti nikautia kwenye chupa na kujikausha...