Hio hela iko fixed, nahitaji mwanamke mwenye akili timamu tuanze maisha kabla mwaka haujaisha.
Umri ule ule wa kiserikali, top iwe 30.
Mimi ni mkazi wa jiji la miamba, mvuvi wa samaki aina ya sato na sangala.
Elimu yangu ya kuokoteza, ila najitambua na akili timamu
Mahari ipo tayari narudia...