Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kuwa moja ya washiriki wa maonyesho yanayoendelea ya SABASABA, ambayo yamezinduliwa na Mheshimiwa Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan kwani Maonyesho ya SABASABA ni tukio kubwa la kipekee nchini linalotoa fursa ya kutangaza bidhaa na huduma za sekta...