tcaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    TCAA: Hakuna ndege ambayo inaweza kuingia nchini bila kuonekana, tuna Rada 4 zimesimikwa

    Katika kuadhimisha Siku ya Usafiri wa Anga Duniani (ICAD) ambayo kilele chake ni Desemba 7, 2024 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim Msangi amesema kwa sasa hakuna ndege ambayo inaweza kuingia kwenye anga la Tanzania bila kuonekana. Akizungumza na Waandishi wa...
  2. Gemini AI

    Rais Samia ateua Wakurugenzi wapya TCAA na TAA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Salim Ramadhani Msangi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA). Kabla ya Uteuzi Msangi alikuwa akikaimu nafasi hiyo Pia, Rais amemteua Abdul Athumani Mombokaleo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA)...
  3. T

    Msaada: Mshahara TCAA

    Wakuu
  4. B

    Wakufunzi wa Chuo cha CATC wahimizwa kufanya kazi kwa weledi

    Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC) kimefanya hafla ya kufunga Kozi mbili za ‘Area Control Procedure’ namba 35 na Kozi ya Ndege nyuki (Drone) namba 16 kwa wakufunzi hao kuhimizwa juu ya kufanya kazi kwa weledi. Nasaha hizo zimetolewa Machi 08, 2024 na Mkuu wa Chuo cha CATC, Aristid Kanje wakati wa...
  5. chiembe

    Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Kumekucha. Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya. Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani. ====== Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa...
  6. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kihenzile Akutana na Watendaji TCAA, Awasisitiza Kufanyia Kazi Hoja za CAG

    Naibu Waziri Kihenzile Akutana na Watendaji TCAA, Awasisitiza Kufanyia Kazi Hoja za CAG Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile (Mb) ameonana na watendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Anga (TCAA) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Ndugu Hamza Johari. Naibu Waziri Kihenzile...
  7. Donnie Charlie

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA): Hakuna utoroshwaji wa wanyama pori kwenda Falme za Kiarabu

    DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imesema hakuna utoroshwaji wa wanyama pori kwenda Falme za Kiarabu kama taarifa za upotoshwaji zinavyodai. Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari amesema katika taarifa kwa vyombo vya habari leo kuwa kama Mamlaka inayohusika na kutoa vibali...
  8. crankshaft

    Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) yasema haikitambui chuo cha Tanzania Aviation College kilichotoa wahitimu tangu 2018

    Dar es Salaam. Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema haiutambui usajili wa Chuo cha Tanzania Aviation College kilicho na matawi katika mikoa ya Mwanza, Dares Salaam na Arusha. Chuo hicho ambacho kimekuwa kikitumia usajili namba wa CAA/AT0/050 imebainishwa kuwa usajili wake ulifikia...
Back
Top Bottom