Habari zenu Wakuu,
Nauza Tv ya TCL inch 32 SmartTv kwa 320,000 tu!
Tv ni nzima na haijawahi kwenda kwa fundi.
Napatikana Dar es Salaam.
Mawasiliano 0626753305
Habari wakubwa kichwa cha habari chajieleza, napesa mfuko wa shati laki 6 nashida na kioo cha TV Tajwa hapo juu, Deler kaniambia kinauzwa 1.1M kwa kweli nimeshindwa.
Kwa mwenye nacho hata cha mchongo isizidi laki 6 anicheki asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.