KARIAKOO DERBY
Usilolijua ni kwamba, Jumamosi ya wiki hii ni lazima siku yako itakuwa mbaya (itaharibika) kwasababu Jumamosi ya terehe 08/03/2025 team yako pendwa itafungwa.
Ili usiendelee kupata maumivu na kwa vile maisha ni matamu mno nakushauri baada ya Jumamosi; fanya uamuzi wa kuhama Team...
Oya naombeni msaada demu wangu kaniambia ameamua kujiunga kufanya mazoezi ya mpira wa muguu mtaani kwao, team ya mademu, nilipo muuliza kwanini umeamua hivyo kazema ni maamuzi yake kaamua iwe hivyo nikimzuia anasema ameamua kufanya kazoeni na kila siku anaenda uwanjani na akirudi amechoka usiku...
Magufuli aliwasamehe vijana aliyowahisi kuwa Wanamuhujumu hawa kina Kina Nape Nnauye, January Makamba na vigogo kama kinana na Makamba Sr, ila kumbe alikuwa anajichimbia shimo mwenyewe
Kuna figisu zinapikwa chini kwa chini kutoka CCM na wanawatumia vibaraka wao kutoka CHADEMA ambao wengi wao ni...
Tutajitahidi angalau yasifike magoli 10. Tunajua tutafungwa magoli mengi sana. Hatuna wasiwasi tunaenda kucheza na wachezaji ambao tunawasikia tu kwenye radio na tv.
Kocha wetu katushauri tu relax tu tu enjoy ball na tujifunze kutoka kwa mabingwa. Issue hapo si kutafuta point. Sisi...
Hizi teams ambazo hazidhamini na GSM huwa zinaiwekea sana ngumu Yanga. Na hasa kama hakuna wachezaji au kocha ambaye ni Yanga. Team inacheza kama vile inataka kupata sifa.
Mi nashauri ili tuendeleze ule ushindi wa 4,5,6 basi GSM apewe teams zote kudhamini. Maana kwenye huu umoja wa teams...
Looooooh....salaaaaaleh..... Huyu jamaa . Na mwandishi anamsikiliza tu..... Hili suala la Yanga kuwa na Mamluki wanatoa siri za club ni sababu ya Manara. Hawaweki siri.
Hivi ukipost kuhusu kuokosoa uongozi mpya wa chadema basi hujibiwa kwa kejeli badala ya hoja.
Haya yanajitokeza ktk account mbali mbali ikiwemo Ngurumo katika hoja yake kuhusu hujuma anaetaka kufanyiwa mwenyekiti wa BAWACHA. Ukisoma comment za wanaCHADEMA utaona wazi kuna gap kubwa kati ya...
Huyu 👇👇jamaa anayejigamba hapa anajitambulisha kama Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bagamoyo. Haina shaka kuwa alikuwa "Team Mbowe..."
https://youtube.com/shorts/ozPk6U2P45k?si=SZQVYkHgEETLKsf0
Jamaa alikuwa anajigamba na kujitapa kweli kuwa yeye "ndiye mpiga kura halisi" na wale wa upande ule...
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Kama kachoka kweli mbona hajasema kuwa Kachoka kuwa Mbunge huko aliko na bado tena mwakani anagombea? Na hili ndilo limekuwa tatizo lenu wana CCM japo Mimi si Mwanachama wenu ila ni Shabiki yenu ni kwamba mnapenda na sijui kwanini kudhani kuwa Watanzania wote hatuna Akili na hatujui mambo.
Sababu za kumchagua tena Mbowe
1. Uzoefu wa Uongozi
Mbowe amekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda mrefu na ameiongoza chama kupitia changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na kushuka kwa ushawishi wa upinzani kutokana na mazingira ya kisiasa nchini. Uzoefu wake unaweza kuwa faida kubwa kwa chama...
Nliwahi waambia wenzangu kwenye group letu la Wa Kimataifa kuwa sawa tunatoa bakshishi wapinzani wa Tz wawabanie sana Simba. Simba wapate ugumu. Hii inawanoa Simba sana. Simba wanapata ushindi kwa mbinde kila match kwao ngumu. Hapo wanajifunza mbinu mbalimbali.
Sisi kuna matches tukicheza...
Kwa wenzetu nchi za Uarabuni hii imetumika sana na imeleta mabadiko makubwa ktk kisiasa, sababu kubwa mwamko wa elimu kwa vijana upo juu
Tanzania bado kabisa, wengi wanaona kama sehemu ya burudani, matusi, propaganda na sio sehemu sahihi za mabadiliko.
Hili team Lissu mumedanganyika.
Lema, Heche...
Baada ya Heche kuongea duru zinaonyesha hawa watu walijiandaa muda mrefu kimya kimya bila Team Mwenyekiti kung'amua. Sasa imepelekea Mwenyekiti na Team yake wapagawe.
Mwenyekiti amepagawa hana tena utulivu. Waandamizi wa Team yake jamii iliyokuwa inawapa nguvu imewakacha, wameamua kaa kimya...
1. Kuna idadi ya makatibu wengi sana wanabadirishwa kipindi hiki. Makatibu ni waajiriwa ukigoma huna kazi.
2. Makatibu wa ngazi za chini kupeleka majina yenye makosa mikoani ili washi dwe kujisajili.
3. Support ya sirikali, kama ilivyo tokea kwa mbatia nccr mageuzi.
4. Vitisho vinaendelea...
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.
Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa.
1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.