team magufuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mtetezi wa MAGU

    Lissu umeshinda, ioshe mioyo ya timu Magufuli tukukabidhi nchi

    Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA. Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi...
  2. Etwege

    Mpinga Hayati Magufuli aangua kilio ndani ya treni ya SGR

    Tarehe 4, july, 2024 nikiwa kwenye treni ya umeme (SGR)ya Dar - Morogoro ambapo abiria wanatumia saa moja na dakika 49 tu kufika, hivyo kuokoa muda mwingi wa uzalishaji uliokuwa unapotea barabarani kwenye foleni, kwenye siti pembeni yangu alikaa kijana ambaye kwa muonekano yupo umri wa above 25...
Back
Top Bottom