team

  1. KARIAKOO DERBY: Jumamosi yako itakuwa mbaya kwasababu team yako itafungwa

    KARIAKOO DERBY Usilolijua ni kwamba, Jumamosi ya wiki hii ni lazima siku yako itakuwa mbaya (itaharibika) kwasababu Jumamosi ya terehe 08/03/2025 team yako pendwa itafungwa. Ili usiendelee kupata maumivu na kwa vile maisha ni matamu mno nakushauri baada ya Jumamosi; fanya uamuzi wa kuhama Team...
  2. Mpenzi wangu kaanza majuzi kufanya mazoeni tena kwenye team ya mabinti mtaani nimzuie?

    Oya naombeni msaada demu wangu kaniambia ameamua kujiunga kufanya mazoezi ya mpira wa muguu mtaani kwao, team ya mademu, nilipo muuliza kwanini umeamua hivyo kazema ni maamuzi yake kaamua iwe hivyo nikimzuia anasema ameamua kufanya kazoeni na kila siku anaenda uwanjani na akirudi amechoka usiku...
  3. Tundu Lissu Fukuza Uanachama hawa Team Mbowe, usimuige Magufuli Msaliti hasemeki; Hakuna adui mbaya kama wa nyumbani kwako

    Magufuli aliwasamehe vijana aliyowahisi kuwa Wanamuhujumu hawa kina Kina Nape Nnauye, January Makamba na vigogo kama kinana na Makamba Sr, ila kumbe alikuwa anajichimbia shimo mwenyewe Kuna figisu zinapikwa chini kwa chini kutoka CCM na wanawatumia vibaraka wao kutoka CHADEMA ambao wengi wao ni...
  4. Sisi KMC leo tunachapika na Yanga kinyama. Ni furaha kwetu kufungwa na Team kubwa kama hii

    Tutajitahidi angalau yasifike magoli 10. Tunajua tutafungwa magoli mengi sana. Hatuna wasiwasi tunaenda kucheza na wachezaji ambao tunawasikia tu kwenye radio na tv. Kocha wetu katushauri tu relax tu tu enjoy ball na tujifunze kutoka kwa mabingwa. Issue hapo si kutafuta point. Sisi...
  5. GSM ipewe vilabu vyote kudhamini ili Yanga iwe team bora katika Ligi

    Hizi teams ambazo hazidhamini na GSM huwa zinaiwekea sana ngumu Yanga. Na hasa kama hakuna wachezaji au kocha ambaye ni Yanga. Team inacheza kama vile inataka kupata sifa. Mi nashauri ili tuendeleze ule ushindi wa 4,5,6 basi GSM apewe teams zote kudhamini. Maana kwenye huu umoja wa teams...
  6. Video: Kuhusu team yangu ya Yanga. Huyu atafutwe kabisa

    Looooooh....salaaaaaleh..... Huyu jamaa . Na mwandishi anamsikiliza tu..... Hili suala la Yanga kuwa na Mamluki wanatoa siri za club ni sababu ya Manara. Hawaweki siri.
  7. M

    Vijana wengi wa sasa CHADEMA hawajengi hoja, wanatumia jazba kujibu hoja

    Hivi ukipost kuhusu kuokosoa uongozi mpya wa chadema basi hujibiwa kwa kejeli badala ya hoja. Haya yanajitokeza ktk account mbali mbali ikiwemo Ngurumo katika hoja yake kuhusu hujuma anaetaka kufanyiwa mwenyekiti wa BAWACHA. Ukisoma comment za wanaCHADEMA utaona wazi kuna gap kubwa kati ya...
  8. Tujikumbushe: Majigambo ya waliojiita "wao ni wapiga kura halisi" wa Team Mbowe na eti Team Lissu ilikuwa na "wapiga kelele..."

    Huyu πŸ‘‡πŸ‘‡jamaa anayejigamba hapa anajitambulisha kama Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bagamoyo. Haina shaka kuwa alikuwa "Team Mbowe..." https://youtube.com/shorts/ozPk6U2P45k?si=SZQVYkHgEETLKsf0 Jamaa alikuwa anajigamba na kujitapa kweli kuwa yeye "ndiye mpiga kura halisi" na wale wa upande ule...
  9. Team Mbowe, sasa tuingie msituni kuhakikisha Lissu anakwama kuongoza chadema na hapati urais

    Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa. Hii Vita haijaisha mpaka iishe
  10. KIU head coach and Deputy Captain Join Ugandas National Basketball Team for Fiba Zone V Qualifiers

  11. M

    Kwanini team Lissu watashia kuhama chama?

    Uchaguzi wote upo live, na hata waliokatwa kumbe sio wapiga kura wa kesho. Waliokatwa uchaguzi wao utakuwa kesho kutwa Sababu kubwa ni ipi?
  12. Tusifichane Mpango wala hajachoka, ila kuwa Kwake Mkweli na kuwa 'Team Hayati 5th Phase President' ndiko Kumemgharimu

    Kama kachoka kweli mbona hajasema kuwa Kachoka kuwa Mbunge huko aliko na bado tena mwakani anagombea? Na hili ndilo limekuwa tatizo lenu wana CCM japo Mimi si Mwanachama wenu ila ni Shabiki yenu ni kwamba mnapenda na sijui kwanini kudhani kuwa Watanzania wote hatuna Akili na hatujui mambo.
  13. M

    Hoja kwa Hoja: Kwanini ni Mbowe na sio Lissu

    Sababu za kumchagua tena Mbowe 1. Uzoefu wa Uongozi Mbowe amekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda mrefu na ameiongoza chama kupitia changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na kushuka kwa ushawishi wa upinzani kutokana na mazingira ya kisiasa nchini. Uzoefu wake unaweza kuwa faida kubwa kwa chama...
  14. Tunapolipa team ziikazie Simba. Tunawasadia Simba zaidi kujinoa na Wachezaji wetu kulegea. Saed Ramovic ameongea

    Nliwahi waambia wenzangu kwenye group letu la Wa Kimataifa kuwa sawa tunatoa bakshishi wapinzani wa Tz wawabanie sana Simba. Simba wapate ugumu. Hii inawanoa Simba sana. Simba wanapata ushindi kwa mbinde kila match kwao ngumu. Hapo wanajifunza mbinu mbalimbali. Sisi kuna matches tukicheza...
  15. Team Lissu tukishanyakua Uwenyekiti wa CHADEMA

    Jamani tujiandae πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tunajipumzisha kidogo kisha tunaanza kumpelekea moto mama
  16. M

    Team Lissu inanadiwa na social media

    Kwa wenzetu nchi za Uarabuni hii imetumika sana na imeleta mabadiko makubwa ktk kisiasa, sababu kubwa mwamko wa elimu kwa vijana upo juu Tanzania bado kabisa, wengi wanaona kama sehemu ya burudani, matusi, propaganda na sio sehemu sahihi za mabadiliko. Hili team Lissu mumedanganyika. Lema, Heche...
  17. D

    Team Wananchi vs Team Mwenyekiti

    Baada ya Heche kuongea duru zinaonyesha hawa watu walijiandaa muda mrefu kimya kimya bila Team Mwenyekiti kung'amua. Sasa imepelekea Mwenyekiti na Team yake wapagawe. Mwenyekiti amepagawa hana tena utulivu. Waandamizi wa Team yake jamii iliyokuwa inawapa nguvu imewakacha, wameamua kaa kimya...
  18. Pre GE2025 Mipango ya Team Mbowe (FAM) kushinda uchaguzi, Kujitangaza ni 100%

    1. Kuna idadi ya makatibu wengi sana wanabadirishwa kipindi hiki. Makatibu ni waajiriwa ukigoma huna kazi. 2. Makatibu wa ngazi za chini kupeleka majina yenye makosa mikoani ili washi dwe kujisajili. 3. Support ya sirikali, kama ilivyo tokea kwa mbatia nccr mageuzi. 4. Vitisho vinaendelea...
  19. Pre GE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu. Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
  20. MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

    Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa. 1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…