team

  1. R

    TEAM FAM AND TAL: Nilichojifunza kutoka kwa mashabiki wa Team hizo mbili

    1. Team TAL wafuasi/mashabiki wake wanapima integrity na Ethics yake kwa kutumia KIWANGO CHA UKUBWA WA KUWALAUMU/KUWASINGIZIA/KUWABAGAZA WENZAKE KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA kama aliyokuwa anafanya Lytonga Mrema. WANASAHAU KUWA: ALL THAT NEED EVIDENCE TO PROVE........which is not forthcoming as...
  2. N

    Tetesi: LYENDA: Tayari Team Mbowe wametenga TZS Milioni 380 kama fedha za kusafishia njia tu na sasa wanaelekea mikoani kusalimiana na wajumbe

    Makamanda kama kweli itatokea mtaanza kupokea pesa huko Majimboni kwenu kutoka kwa Freeman Mbowe basi ondoeni mashaka kabisa kuwa Mwenyekiti wenu tayari ni mtu wa Serikali na nirafiki wa watesi wenu lazima aogopwe kama ukoma. Freeman Mbowe amekuwa akilalamika uongozi huu ni mgumu na hauna...
  3. Hii Yanga ya sasa ikikutana na Real Madrid, Barcelona, Liverpool isipozifunga hizo team nipigwe ban milele

    Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je? Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo...
  4. N

    Tufanye haya mashabiki na wapenzi wa timu ya Yanga

    Wapenzi na Mashabiki wa Team ya Yanga, ni kweli ya kuwa, tunapitia Wakati Mgumu na kwa kiasi Fulani, kimataifa angalau tumenza na Matokeo ya kutia Moyo,sio ya kuridhisha. Ili tutembee kifua mbele kwenye Mzunguko wa Pili Kimataifa kwa hizo mechi tatu zilizobakia tunatakiwa tumshauri Kocha wetu...
  5. Je, kanisa linahitaji uwepo wa praise and worship team?

    Praise and worship teams, imekuwa sehemu muhimu ya ibada katika makanisa mengi. Hata hivyo, kwa baadhi ya waumini, makundi haya yamekuwa chanzo cha kero na mzozo ndani ya kanisa. Wengine wanadai kuwa Praise and Worship ni sehemu mbaya zaidi ndani ya kanisa. Utandawazi umefanya baadhi ya nyimbo...
  6. Jana kama Team ya Taifa ingepoteza, Wachezaji wote baada ya Mechi uelekeo ulikua Kariakoo.

    Kuna Mashabiki wa Team ya Taifa Jana walikua wamejipanga Kwa Mkapa, wakisema wamechoka na Maumivu ya kufungwa. Team imekua Kama Homa ya Vipindi, Tena ni Bora Team ya Taifa ikawa inacheza tu away ambapo mara hufanya Vizuri kuliko ikicheza Nyumbani. Walichofanya Wakawa Wana organize support toka...
  7. Takwimu. Wafungaji bora wa Team ya Taifa

    Tuweke hapa idadi ya wachezaji ambao wameifungia team ya Taifa mabao mengi waliopo timuni mpaka sasa. 1. Simon Msuva 2. Mbwana Samatta 3. Feisal Toto Na makipa ambao wameibeba sana team ya Taifa mpaka sasa 1. Aishi Manula 2. Yule kipa wetu Yanga alisemwa Bwabwa Soma Pia: Full Time Tanzania 1...
  8. Emergency response team ya Dar es Salaam imekua kulinganisha na zamani

    Ukweli usemwe. Hakika naiona coordination ya hali ya juu namna Team ya kukabiliana na Majanga Dar es Salaam inavyoweza kupambana na majanga ya kipekee na ya aina tofauti tofauti. Tuendelee kutambua mapungufu ili wayaboreshe siku hadi siku. Mungu awape nguvu frontliners wote na wananchi kwa...
  9. Mashairi wimbo "Komaa Nao" by East Coast Team

    Naamini mtakufa nyinyi Kupona nitapona mimi Kama biashara ya madini Mgodi na umiliki mimi Siwezi kuanzisha zaga wakati mwisho wake siuoni Ni kama kumtusi Baba tena kwa matusi ya nguoni 'Pumbavu'... Hawanipendi wanaomba nikatike ulimi Na kwenye 'MV Bokoba' ningekuwepo pia mimi Na wanapenda kuwa...
  10. Azam kashakubali kichapo. Haina mjadala hiyo. Anacheza na Team ya Taifa. Ahadi yangu

    Huu ni Mwembe wa uani. Sisi tunajichumia tu tunakula maembe. Kifupi Yanga hatuna mshindani katika ligi ninyi wenyewe mmeona. Ikitokea hata Azam kutoa draw mi najisaidia hadharani pale mnara wa askari. Muone mashine gun yangu ikitema risasi za moto. Azam ni team rahisi sana kwetu. Wanatupa...
  11. Simba ikimfunga Yanga narusha humu picha bila nguo. Kuonesha ni aibu na impossible

    Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga. Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
  12. Tuache utani Wanayanga Simba ni team hatari sana, naogopa

    I salute you kinsmen. Kwa kweli Simba ya sasa ni hatari sana mpaka wanayanga tunaogopa sana hata match yenyewe. Yaani mimi naona wazi kabisa siku hiyo matokeo hayatakuwa upande wetu kama mzunguko uliopita walipokula 5. Mzunguko simba wamekuwa hatari sana uwanjani kuliko yanga tujipange sana...
  13. Yanga imepata wachezaji imepoteza team

    Hii ndio sentence pekee naweza kuitumia kuelezea kile nachokiona kwa team ya Yanga Kwa Sasa Kuna wachezaji lakini hakuna team Kila mmoja anataka kufanya kile anachotaka kufanya sio kwa ajili ya team Bali kwa ajili yake Naamini Kuna hata wachezaji husikia uchungu pale mmoja wao anapofunga...
  14. Tigo na makampuni mengine ya simu njooni mjibu tuhuma hizi kabla hatujawakimbia

    Kuna madai yaliyo tolewa huko London mahakamani kwamba Tigo muliwapa watu fulani data za kumfuatilia Tundu Lissu. Mbona mmekaa fofofo hadi sasa hamseki kitu? Mpaka sasa hamja kanusha kwamba ni ya uongo- kama ilivyo lipotiwa: Firm disclosed phone data of shot Tanzanian politician, UK tribunal...
  15. Kuna team huko Saudia Pro league inaitwa Al Hilal

    Hii team inashinda Kila mechi halafu inashinda kirahisi sana na ukijichanganya unakula hata nne au Tano
  16. TANESCO- Simiyu yatuma Wataalam kufuatilia changamoto ya umeme Kata ya Muamatondo - Bariadi

    Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa ni Mkazi wa Bariadi katika Kata ya Muamatondo amedai kunachangamoto kubwa ya kukatikakatika kwa umeme hasa katika Kijiji cha Mwasinasi. Hoja ya Mdau ipo hapa ~ Kata ya Muamatondo wilaya ya Bariadi suala la umeme kukatika limekuwa kero sana...
  17. Job kurudishwa national team Unafki wa kocha hemed moroco umejidhihirisha?

    Wakuu. Sote tulilaumu sana kwa kipindi kile kocha moroco kutomuita the big brain defender na hata tukapuuzwa kwa chuki zake za kijinga za kocha huyu, leo sasa mwenyewe kajirudi mwenyewe Hemed.🗣 Dickson Job ni mchezaji wa timu ya taifa na amerudi kwenye timu ya taifa na hii ni baada ya...
  18. Huyu bwana Toka 2010 amekuwa akiwatapeli baadhi ya Watanzania

    Mnaona wana jamvi, Na team ya JamiiForum hebu angalieni hili swala la huyu bwana Toka 2010 amekuwa akiwapiga za uso baadhi ya Tanzania kwa kuwapiga na uhuni wa utaperi wa uwekezaji hali anaacha familia nyingi za Kitanzania zikiumia na hakuna mtu wa kufichua hili swala. Jamiiforum kimnya TBS...
  19. Naomba kuuliza Vijana walioenda Kongamanoni leo Dodoma walienda kwa Utashi wao au ni kwa Utashi wa Chakula na Hela kutoka kwa Team Chawa?

    Halafu inakuwaje wengi Wao niliwaona kama vile Nyuso zao zilikuwawa na hofu na pia kukosa Kujiamini kama Vijana?
  20. Team “Kataa ndoa” wapuuzwe, hawana maadili, ndoa iheshimiwe na watu wote

    Kumekuwepo na wimbi kubwa la "Vijana wa ovyo " wakiendesha kampeni yao maarufu Kama Kataa ndoa! Wengi wanaopinga ni kuonyesha kiasi gani jamii yetu inakosa maadili! Mwanaume anaogopa na hawezi kuiongoza familia ,anaishia kuandika KATAA NDOA? hebu tukumbushane! Umewahi kuona mgombea urais asiye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…