Habari wanajamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Simu yangu imeleta mushkeri kidogo, najua kuna wataalam kwenye masuala ya simu.
Tatizo hili nimeliona Asubuhi nilivyo amka, jana nilitumia simu mpaka mida ya Sita usiku, nilivyo itumia ikabaki asilimia 10%, hivyo ikabidi niweke...