Techno spark 20 ime dukuliwa?
Kila nikipiga simu au kupokea inaonyesha kidoti Cha kijani mbele ya betri halafu Ina rekodi.
pia Niki fungua kamera inaonyesha kidoti Cha kijani mbele ya betri halafu Ina rekodi hii imekaaje wa talaamu mtusaidie
Habari,
Kilicho nivutia humu ni umbo lake tu yaani ni slim bezel hata galaxy S10 plus bezel zake ni nene na bei yake pia ni 580,000 nimekuja humu mapema kabla sijajilipua na kama kuna chaguo lingine kali unaweza ukashare na mimi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.