ted kalanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    TANZIA Ted Kalanda Harrison, Mtunzi wa wimbo wa 'Jambo Bwana' au 'Hakuna Matata'afariki Dunia

    Msanii wa muziki na Mtunzi wa wimbo wa 'Jambo Bwana' maarufu kama 'Hakuna Matata' kutoka Kenya Ted Kalanda Harrison amefariki Dunia Septemba 17, 2024 Taarifa ya kifo cha Msanii huyo imethibitishwa na ndugu yake, John Katana akisema Ted amefariki baada ya kuugua saratani kwa muda mrefu. Ted...
Back
Top Bottom