tegeta a

Tegeta Thermal Power Station is a Tanzania Electric Supply Company owned power plant. The project began in 2006 half funded by the Tanzanian Government and the other half by The Government of the Kingdom of the Netherlands under ORET/MILIEV program.
The power-plant is located in Tegeta, Dar es Salaam and has an installed capacity of 45 megawatts (60,000 hp) using Natural Gas as fuel. The power plant obtains Natural gas from the existing dar-es-salaam gas pipeline.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    Kimewaka wananchi Tegeta A wamvamia mwenyekiti kisa ubovu wa barabara, wasema wamechoka

    Wananchi wa Mtaa wa Tegeta A katika Kata ya Goba wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wameandamana mpaka ofisi za Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tegeta A, wakitaka ufafanuzi juu ya sababu zinazopelekewa Barabara ya Tegeta A- Goba Mpakani kubaki kuwa mbovu, licha ya ahadi walizoahiriwa mara...
  2. P

    Kiwanja kinauzwa kwa Bedui (Tegeta A) Goba karibu na kanisa la Wasabato

    Kiwanja kinauzwa goba tegeta "A" kwa bedui Dakika 5 tukutoka kwa bedui center Dakika 7 tuu mpaka goba centre Dakika 10 tuu mpaka madale mwisho Kiwanja kina sqm 722 (Upana wastani wa 19m and urefu ni mita 38) Kuna barabara unafika na gari bila tatizo Eneo limejengeka vizuri sana. Kiwanja...
  3. P

    Nauza plot Tegeta A kwa bedui -Goba.

    Kiwanja kipo karibu na kanisa la Sabato dakika 5 kutoka barabara inayoelekea Goba mpakani. Kiwanja kina mapana yafuatayo. Upande unapakana na barabara ni mita 16 na marefu yake ni mita 38. Upande wake wa nyuma ni mita 22. Bei yake kuanzia TZS26 milioni. Maongezi yapo tuwasiliane
  4. C

    Kiwanja kinauzwa Tegeta A

    Kiwanja kina ukubwa wa 20 kwa 20 (400 sqm) kuna vyumba viwili ambavyo vimekamilika na mwenyewe anaishi hapo . Unapanda bajaji za kwenda kwa madawa (kituo cha kushukia ni kwa madawa) sio mbali kutoka hapo na kiwanja kilipo. Bei ya kiwanja ni shilingi milioni 13 . Mawasiliano 0716694624/0685084315
  5. Ochoa Real Estate

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba Tegeta "A" Kwa Bedui

    Kiwanja kinauzwa goba tegeta "A" kwa bedui Dakika 3 tuu kutoka kwa bedui center Dakika 7 tuu mpaka goba centre Dakika 10 tuu mpaka madale mwisho Kiwanja kina sqm 700 Ni corner plot Kina njia kubwa pande mbili Eneo limejengeka vizuri sana Kiwanja kinauzwa milioni 40 tuu.... ☎️ +255 699...
Back
Top Bottom