tegeta kwa ndevu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Rais Samia amzawadia TSh Milioni 5 aliyewaokoa Watumishi wa TRA waliovamiwa Tegeta

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi tuzo na zawadi ya Tsh. milioni 5, Mkazi wa Tegeta Jijini Dar es salaaam, John Malole ambaye aliwaokoa Watumishi wa TRA walioshambuliwa Tegeta Jijini Dar es salaam wakati wakitimiza wajibu wao baada ya kuhisiwa kuwa ni Watekaji. Rais...
  2. N

    √ Taka zilizorundikwa barabarani eneo la Tegeta Kwandevu zimezolewa, sasa iwekwe mifumo rafiki ya kuhifadhi taka

    Taka zilizokuwa zimerundikwa barabarani kwa zaidi ya siku tatu eneo la Tegeta - Kwandevu na kusababisha kero kwa waendeshaji wa vyombo vya moto sambamba na kuhatarisha afya za Wananchi umezolewa leo asubuhi Januari 21, 2024. Kwa mujibu wa vyanzo kutoka eneo hilo wamedai asubuhi ya leo gari la...
  3. RC Chalamila: Alipouawa Afisa wa TRA patasafishwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa Jumapili, Disemba 8 katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema...
  4. Pre GE2025 Mwigulu aahidi kuwahudumia watoto wawili wa aliyekuwa Mtumishi wa TRA

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameahidi kuwahudumia kimahitaji watoto wawili wa marehemu, Amani Kamguna Simbayao, aliyekuwa mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), aliyefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa ya Mifupa Muhimbili-Moi- Dar es salaam, aliyefariki dunia kwa kushambuliwa...
  5. Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

    Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa πŸ‘‡πŸ‘‡ Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE? Maswali yanazidi kuchanganya umma...
  6. Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya Mtumishi wa TRA Amani Simbayao kutoka tukio la Tegeta

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaaam linawashikilia wanaotuhumiwa wanne, Deogratius Paul Massawe (40), Bakari Idd Bakari (30), wote ni kuli wa Tegeta kwa Ndevu, Omary Issa...
  7. Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na...
  8. TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

    ============= Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya...
  9. A

    KERO Dar: Tegeta kwa Ndevu stendi barabara ya kuelekea machinjioni kuna bomba la DAWASA limepasuka hivyo kuhatarisha afya za watu

    Mtaa wa Tegeta kwa Ndevu stendi barabara ya kuelekea machinjioni kuna bomba la DAWASA limepasuka tangu mwaka jana, bomba hilo linamwaga maji na kuhatarisha afya usalama hewa wa biashara ====== Mrejesho: Dawasa walifika na kutengeneza kwa kuziba mbomba lililopasuka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…