Moto mkubwa uliokuwa unawaka na kuteketeza Msitu na uoto wa asili unaozunguka mlima Kilimanjaro umezimika baada ya mvua kunyesha Usiku wa kuamkia leo Tar 1/11/2022.
Takribani wiki mbili sasa jitihada mbalimbali zilikuwa zinaendelea kuuzima moto huo bila mafanikio, mpaka mvua ziliponyesha usiku...