teknolijia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KENGE 01

    Je, nastahili pongezi kwa haya niliyofanya?

    Salaam Wakuu. Katika Hii dunia kila mtu anajambo/Mambo/kazi anayofurahia kufanya.Binafdi ninamambo kadhaa ila hiki nilichokifanya nimejikuta mimi mwenyewe najipiga kifua nasema Hapa nimefanya jambo kubwa linalostahili pongezi Lakini, Je! Nastahili pongezi kwa hiki nilichokifanya? Twende...
  2. Last_Joker

    Hivi Ndio Sasa Tunaweza Kuvaa Teknolojia: Vifaa vya Wearables Vinavyotawala Dunia

    Teknolojia imefika mbali sana, bro! Unakumbuka zile enzi ambazo simu za mkononi zilikuwa kubwa kiasi kwamba ilikuwa lazima ubebe kwenye begi? Sasa tumefikia wakati ambapo tunaweza kuvaa teknolojia. Ndio, unavaa kabisa kama vile umevaa nguo au saa, lakini teknolojia inafanya kazi zenyewe bila...
  3. nodetz

    Moja ya mambo yanayoifanya Tanzania iwe nyuma kwenye Teknolojia

    Natanguliza shukulani kwa WanaJF maana mmekua mchango mkubwa sana kwa watanzania wengi kupata maarifa ya mambo mbalimbali hasa kuhusu Teknolojia Kama title inavyojieleza hapo juu na haya ni maoni yangu kuhusu nchi yangu pendwa Tanzania inavyo litazama jambo hili na jinsi ambavyo inashindwa...
  4. H

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Sera Ya Matumizi Ya DashCam

    UTANGULIZI: Kumekuwa na mtafaruku haswa inapotokea Ajali iwe barabarani au mtaani kutokana uzembe wa dereva na kusababisha madhara fulani, lakini kukawana uzito katika kutoa Adhabu kutokana na kutokuwa na ushahidi kamilifu kitendo kinachopelekea upendeleo kwa mtu aliehusika na uzembee huo SERA...
  5. Mabula marko

    SoC04 Matumizi ya viumbe hai wadogo (bakteria na fangasi)” katika kuozesha taka ili kuondoa tatizo la uchafu katika mazingira yetu na kulinda afya zetu

    MATUMIZI YA VIUMBE HAI WADOGO (BAKTERIA NA FANGASI)” KATIKA KUOZESHA TAKA ILI KUONDOA TATIZO LA UCHAFU KATIKA MAZINGIRA YETU NA KULINDA AFYA ZETU NA VIUMBE HAI WENGINE Utangulizi: Tanzania kama nchi zingine ulimwenguni huzazlisha taka laini na ngumu nyingi zitokanazo na shughuli za kila siku za...
  6. TODAYS

    Hii SGR Dar-Moro Masaa Mawili, Duniani Huko Wanatumia Dakika 20!

    SGR yetu ya kwanza toka kuumbwa kwa dunia ilijaribiwa kwa mbwembwe pamoja na wadau kuhoji vipi umeme ukikatika itakuwaje? Mkurugenzi mkuu wa TRC ndg Kadogosa alijibu kwa mbwembwe tuna backups transformers na diesel engine za dharula, pamoja na majibu hayo umbali uliotumika haukuweza kutoa...
  7. Sebastian Oscar

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Africa, ni moja ya bara lenye rasilimali nyingi, licha ya kuwa na rasilimali nyingi Africa bado inatambulika kama bara lenye uchumi wa tatu. Moja ya sababu kubwa inayoifanya Africa ishindwe kukuwa kiuchumi ni kukosa muunganiko wa soko. Ukitizama mataifa yenye uchumi mkubwa duniani yote yanasifa...
  8. MnllnrD

    SoC02 Mapinduzi ya Tatu ya Internet (Web 3) na Fursa Zake kwa Kijana wa KiTanzania

    Vijana wengi tunapenda kutumia internet kufanya mambo yetu mbali mbali ikiwemo, kuperuzi katika mitandao mbali mbali ya kijamii, kutumiana jumbe, kuangalia video na pia kujifunza vitu mbali pia kujiburudisha kwa kucheza michezo mbali mbali inayopatikana mitandaoni maarufu kama games. Lakini je...
  9. Theorist Mosses

    SoC02 Nilivyotengeneza helkopta

    Habari, ndugu jamaa na marafiki kwa jina naitwa Moris, nilizaliwa mkoa wa mara nilisoma na kumaliza masomo ya sekondari na kufaulu vizuri mkoani mara. Baada ya kumaliza masomo ya sekondari nili jiusisha na kazi ya ufundi umeme wa majumbani, ambapo kazi hii hapo awali alikuwa akifanya baba...
  10. Nijosnotes

    SoC01 Utofauti computer developer vs programmer vs coder [Kiswahili]

    Habari wana JF Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) . Mada hii itachochea wale ambao wanahitaji kuwa na uelewa wa maswala ya TEHEMA na pia kwa wale walio ndani ya...
Back
Top Bottom