#teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC04 Kwa teknolojia ya juu, siasa safi, ardhi na uzalendo tunafika

    Najivunia sana nchi yangu Tanzania kuwa ni kubwa barani Afrika, ikiwa imesheheni tunu nyingi kama vile ardhi yenye baraka nyingi, utalii, uvuvi, kilimo, viwanda, na sekta nyingi zaidi. Licha ya rasilimali hizi zote, suala la siasa safi ndilo lenye umuhimu wa msingi katika nchi yetu. Viongozi...
  2. Je, Vijana wa elfu mbili Wana Makosa au Tunashindwa Kukubaliana na Hali Halisi?

    Katika ulimwengu wa leo, tunashuhudia kizazi kipya cha vijana waliozaliwa miaka ya 2000 wakikumbana na ukosoaji mkubwa kutoka kwa jamii. Mara nyingi wanatuhumiwa kuwa na matatizo mbalimbali kama vile UTI, uchafu, kupenda pesa, na kuonekana wajuaji. Swali kubwa ni: Je, wanatakiwa waishi kama watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…