Leo nimefikiria jinsi biashara au kazi za watu mbali mbali zilivyo kufa gafla kutokana na mabadiliko ya teknolojia.
Teknolojia inaendana na muda lakini watu wengi kusoma alama zinawapa wakati mgumu.
Mfano kipindi cha masanturi mpaka kaseti za mziki,VHS kwenda CD ,CD kwenda DVD na SVD kwenda...