Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Virusi vya Corona haviwezi kusafiri kwenye mawimbi ya redio/mitandao ya simu, na kwamba COVID-19 tayari inaenea katika nchi nyingi ambazo hazina mitandao ya simu ya 5G.
COVID-19 huenezwa kupitia matone ya kupumua wakati mtu aliyeambukizwa anapokohoa...