teknolojia ya digitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Teknolojia inaleta fursa muhimu katika Elimu. Ni muhimu kuondoa vikwazo vinavyozuia wengine kuifurahia

    Elimu ni msingi wa maendeleo na fursa binafsi. Hata hivyo, kupata elimu bora kunaweza kuwa changamoto kubwa kwa makundi mbalimbali katika jamii. Lakini kwa miaka ya hivi karibuni, teknolojia imeleta mapinduzi katika uwanja wa elimu na kuwapa wengi fursa mpya. Kuthibitisha hili, Ripoti ya...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    SoC03 Mapinduzi ya Teknolojia ya Digitali yanavyoweza kuleta Maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii

    Salama waungwana, Hakuna anayeupenda, kila mtu anauchukia, Kwa kweli sijawahi kuona hata mtu mmoja anayetaka kuwa Maskini. Kila mtu, jamii na taifa hupigana vita ya umaskini Kwa kila namna wawezavyo. Hii ni kusema vita ya umaskini ni vita inayostahili kuitwa vita kuu ya Dunia. Umaskini...
  3. The Sheriff

    Digitali ni Nyenzo Muhimu Katika Kuongeza Ufahamu na Ushiriki wa Umma Katika Haki za Kijamii

    Teknolojia ya digitali imerahisisha mambo mengi katika dunia ya leo. Si tu imerahisisha mawasiliano na kutoa fursa za ajira kwa vijana na kukuza biashara, bali imekuwa na umuhimu mkubwa katika kupaza sauti za wanyonge, kueneza taarifa, na kuongeza ushirikiano katika makundi mbalimbali ya watu...
  4. The Sheriff

    Matumizi ya Teknolojia ya Digitali Yanaifanya Elimu Kuwa Mchakato wa Kufurahisha

    Mifumo ya Elimu kwa Karne hii ya 21 inapaswa kutambua kwamba tunaishi katika mazingira yanayozidi kuwa ya kiteknolojia. Ubunifu na maendeleo ya kiteknolojia yanaendelea kubadilisha namna tunavyowasiliana, kufanya kazi na kuishi. Hata hivyo, wanafunzi wengi nchini Tanzania bado hawapati ujuzi wa...
  5. The Sheriff

    Teknolojia ya Digitali Inaongeza Uwazi wa Serikali

    Uwazi wa serikali ni dhana kwamba watu wana haki ya kujua serikali yao inafanya nini na serikali ina wajibu wa kutoa taarifa kwa umma. Hata hivyo, kuna njia nyingi za kutafsiri uwazi wa serikali na siku hizi unaweza kupatikana kwa urahisi kupitia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na mitandao ya...
Back
Top Bottom