teknolojia ya habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Libya: Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Benki Kuu atekwa, Benki yasitisha Huduma zote

    Benki Kuu ya Libya imetangaza kusitisha shughuli zake hadi pale Afisa wake muhimu, Musab Msallem aliyetekwa nyara, atakaporejeshwa Taarifa ya Benki hiyo imesema Msallem alichukuliwa kutoka nyumbani kwake na "kikundi kisichotambulika" na pia wafanyakazi wengine wa Benki hiyo wametishiwa kutekwa...
  2. Barua ya Wazi kwa Jerry Silaa, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Bei za vifurushi vya data zipungue

    ๐’€๐’‚๐’‰: ๐‘ผ๐’๐’Š๐’๐’ˆ๐’‚๐’๐’Š๐’‡๐’– ๐’˜๐’‚ ๐‘ฉ๐’†๐’Š ๐’›๐’‚ ๐‘ฝ๐’Š๐’‡๐’–๐’“๐’–๐’”๐’‰๐’Š ๐’—๐’š๐’‚ ๐‘ซ๐’‚๐’•๐’‚ ๐’๐’‚ ๐‘ด๐’‚๐’Š๐’”๐’‰๐’‚ ๐’š๐’‚ ๐‘พ๐’‚๐’•๐’‚๐’๐’›๐’‚๐’๐’Š๐’‚ ๐— ๐—ต๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—๐—ฒ๐—ฟ๐—ฟ๐˜† ๐—ฆ๐—น๐—ฎ๐—ฎ, ๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐—ง๐—ฒ๐—ธ๐—ป๐—ผ๐—น๐—ผ๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—›๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ, ๐——๐—ผ๐—ฑ๐—ผ๐—บ๐—ฎ, ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ. Mheshimiwa Waziri, Kwanza kabisa, napenda kukupa pongezi nyingi kwa kuteuliwa kwako kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  3. SoC04 Mabadiliko makubwa katika uchukuzi, teknolojia ya habari na mawasiliano 2030-2055 katika kuchangia pato la taifa

    Uchukuzi na teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) ni muhimu Sana kwa usatawi wa nchi ya Tanzania kwa kuchangia Pato la Taifa. Uchukuzi hujumuisha bahari(bandari), usafirishaji wa anga, barabara na reli. TEHAMA hujumuisha matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano ikiwemo mitandao ya...
  4. SoC04 Tanzania tuitakayo katika uchumi wa bluu

    Kuendeleza uchumi wa bluu wa Tanzania kwa miaka 25 ijayo, inaweza kufanyika kupitia miradi mbalimbali: 1:Uvuvi Endelevu: Kuanzisha na kutekeleza sera za uvuvi zinazolenga uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari. 2:Utalii wa Baharini: Kuendeleza vivutio vya utalii kama vile mbuga...
  5. SoC04 Tanzania tuitakayo katika eneo la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    Maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yanakuwa kwa kasi sana duniani na ni sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote lile, Tanzania nayo kama nchi inayohitaji maendeleo lazima kuendana na kasi ya maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. Yafuatayo yakifanyika...
  6. SoC04 Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    It is clear that we all agree that the growth of ICT in the world has contributed to the advancement of development and the simplification of life globally. This is one of the indicators for economically developed countries, where the level of ICT development is high, and we see many countries...
  7. Pre GE2025 Maigizo Bungeni: Waziri Nape na viongozi wengine wakaribishwa Bungeni na Roboti Eunice

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amekaribiishwa na roboti Eunice wakati akiingia bungeni leo Mei 16, 2024 ambapo uwasilishaji wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, unafanyika. Roboti hilo lililokuwa katika lango ya kuingia ukumbi wa Bunge na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ