Habari za muda huu
Sisi kama wanafunzi wa digrii tuliomaliza chuo mwaka Jana 2024 katika chuo kikuu TEOFILO KISANJI tunamalalamiko juu ya kile uongozi wa chuo unavotufanyia watahiniwa wake kuhusu vyeti vyetu ambapo Hadi Leo tarehe 29/1/2025 hawajatupa vyeti vyeti na hawajatoa au kutupa taarifa...