Mbona huku tuko busy na mishe zetu wala hatuna habari na siasa zao za kitapeli? Kwa sasa huwezi ingia tele bila vpn iwe simu au vpn.
Nimekaa nimewaza hawa jamaa kwani wana matatizo gani, pamoja na wizi wote wanaoufanya bado wanataka kutukaba mpaka huku?
Nyie chawa wa Lumumba fikisheni ujumbe...
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa siku ya Jumatatu imedokeza kuwa mitandao ya kihalifu kote Kusini Mashariki mwa Asia inategemea zaidi app ya ujumbe wa Telegram kwa ajili ya kutekeleza shughuli haramu.
Ripoti hiyo inaangazia jinsi app ya Telegram imewezesh na kufanikisha kwa kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.