Umofya wana JF,
Mtoto kushinda kwenye TV asubuhi mchana hata jioni yupo kwenye TV ni sawa sawa? Wengine wanasema inasaidia kumpa mtoto exposure wengine wanadai watoto wanajifunza lugha na michezo mbali mbali inayoongeza ujuzi wao, wegine wanapinga sio kitu kizuri.
Je, kipi ni kipi? Tusaidiane...