television

  1. Msaada kuhusu Screen mirroring Television ya LG

    Habari wakubwa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna Tv aina ya LG yenye specifications zifuatazo Model no : Lg 43LM6300PVB 0A1L00B2 (370/550) Power : AC 100-240V ~ 50/60 Hz/ 68 W Serial no : 001EGVJML759 Manufactured January 2020 Nahitaji msaada namna ya kufanikisha 'screen casting' kwa kutumia...
  2. Tunawezaje kuwalinda watoto wetu dhidi ya maudhui yasiyofaa kwenye TV?

    Kama mjuavyo teknolojia ilivyotaradadi Kila Kona ya Duniani. Utazamaji wa Television (TV) umekuwa haukwepeki. Shida katika maudhui yanayorushwa kuna maudhui yasiyofaa kuangalia na vijana wetu ambao Bado hawajajua kuchanganua mambo. Kuna muda unataka uangalie zako tamthilia nawao hao wapo hapo...
  3. U

    Breaking News Wafanyakazi wa ofisi za kituo cha television cha Al Jazeera wakimbia ofisi zao haraka, yadaiwa ni hofu dhidi shambulizi la IDF!

    Wadau hamjamboni nyote? Hajulikani nani aliyetoa taarifa hiyo iliyoleta taharuki hiyo ila hadi muda huu ofisi hizo huko Beirut zimebaki tupu baada ya Wafanyakazi wote kukimbia ili kuokoa maisha yao Taarifa kamili tutawaletea October 17, 2024 Al Jazeera office evacuated in Beirut after...
  4. Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

    Kila mtu anapenda kumiliki kitu kizuri ila baadhi kipato hakiruhusu, hii imepelekea kuwepo kwa bidhaa za kila aina sokoni ili kubeba pesa yoyote mteja aliyonayo. Kwa upande wa TV zipo kampuni nyingi sana na hapa nazigawa kwenye makundi matatu 1. Samsung LG SONY Panasonic 2. TCL Hisense...
  5. China state television declares "Will take Taiwan in early June" warns u.S. To end visits to Taiwan and adhere to the one China Policy

    CHINA STATE TELEVISION DECLARES "WILL TAKE TAIWAN IN EARLY JUNE" AND WARNS THE US TO END ALL VISITS TO TAIWAN AND ADHERE TO THE ONE CHINA POLICY MAY 25, 2024 The video below shows Chinese State TV declaring today that China will reclaim Taiwan, likely in early June. It has begun preparing...
  6. Video & photo journalist, editor, tx operator, youtube & instagram moderator, straeming live on television, youtube & instagram, content creator

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nishafanyaga baadhi ya sehemu kama vile Africa Swahili TV, Dizzim TV and Online, Bongo5. Naomba kama Kuna mtu atahitaji mtu wa kufanyakazi kama hizo kwenye Television au Online Media hata moja wapo tuwasiliane kwa 0714525809 nina uzoefu...
  7. CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi wa 2025

    Kwa kuwa kumekuwa na kilio cha muda mrefu kwamba CHADEMA imekuwa ikihujumiwa na media nyakati zote hasa katika mikutano ya hadhara. Kwamba mikutano huwa haionyeshwi kwasababu ya maelekezo kutoka juu. Mimi nawakumbusha tu kwa vile najua hata nyinyi mwalijua hili kwamba kuwa na channel yenu ya...
  8. T

    Vipindi vya Television.

    Habari za weekend ndugu zangu natumai mko salama, ehee ni weekend tayari. Twende kwenye mjadala Tanzania iko katika biashara ya vingamuzi kwasababu tulitoka uko kwenye analog na sasa tuko digital lakini ni kama atutumii fursa hii vizuri. Nafikiri mna weza kukubaliana na mimi kama umewahi...
  9. Natafuta Television ya LG QNED85 miniLED 2022 inches 65 au 75

    Habari za leo wakuu. Nimejaribu kutafuta hiyo television kwenye maduka mbalimbali kwa Dar es Salaam na sijafanikiwa. Nyingi ambazo nimeziona ni LG QNED80, ila ninahitaji model ya namba 85. Imenibidi kuulizia humu nadhani nitapata mwongozo.
  10. T

    Je Television ya ITV wanajua watazamaji tunawapata kwa shida

    Idara ya matangazo ya ITV hawana budi kufuwatilia kwa umakini kwanini wakati wa taarifa ya Habari au matangazo muhimu channel yao inakuwa inakatika katika tunakuwa hatuwapati live je ni hujuma ndani kwa ndani au tatizo la mitambo yao. Nawasilisha
  11. TIC itisheni mdahalo kuhusu hili suala la DP WORLD na uwe live kwenye televisheni zote nchini

    Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini. Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD. Yaani kuwe na room ya makundi haya...
  12. P

    Taja vipindi vya televisheni vinavyoharibu maadili ya Kitanzania

    Mimi naanza na kipindi Cha Dadaz. Hiki kipindi sijawahi kukielewa kabisa lengo lake ni nini. Kwanza mda wote watangazaji wanaongea bila kupeana zamu ya kuzungumza. Na zaidi nachoona kinalenga kuwafanya mabinti wengi wasiolewe kwa jinsi kinavyopandikiza mbegu ya jeuri, ujuaji, ubabe na ukorofi...
  13. S

    Msaada: Television yangu inabadili channels yenyewe, nibonyeze wapi au nifanyaje tatizo liishe?

    Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi. Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu). Hivyo...
  14. R

    Kama una uwezo wa kutengeneza matangazo ya TV na huna ajira natafuta mbia wa project zangu

    Habari wakuu, Natafuta mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya TV pamoja na graphic designs ambaye hajaaajiriwa tuungane kwenye project zangu za utalii kwa malipo ya commission. Kama upo hapa tafadhali niandikie email mlimakilimanjaro@gmail.com au tuwasiliane kwa private message/direct...
  15. Nahitaji Kijana Wa Matangazo Kwa Television

    Habari Wakuu, Nahitaji kijana anayeweza kuzielezea vyema bidhaa zetu za ngozi kwenye vipindi vya television na radio ambavyo tunaalikwa. Akiwa Dar au Kibaha ni jirani na vituo vya television tunavyofanya navyo kazi. Piga 0713-039 875
  16. M

    Hongereni sana Clouds Media Group (CMG) kwa Kumrudisha Mburudishaji na Mchangamshaji katika Radio na Television Mbwiga Mbwiguke

    Nina uhakika Kitendo chenu cha Kuachana nae (Retrenching Him) pamoja na Watangazaji wenu Wengi wakiwemo Watangazaji Maarufu (Ninaowahifadhi) ambao wanafikia 27 mlitupoteza Wasikilizaji wenu. Ni Wiki ya Tatu sasa namsikiliza Mtangazaji Mburudishaji na Mchangamshaji Mbwiga Mbwiguke akiwa Clouds...
  17. Fahamu Asili na Maana ya Television(Runinga)

    HISTORIA NA ASILI YA RUNINGA Televisheni (kifupi: TV) au runinga ni chombo (kifaa) chenye kiwambo (kioo) ambacho kinapokea mawasiliano kutoka kituo cha televisheni na kuyabadilisha kuwa picha na sauti. Neno "televisheni" linatokana na maneno mawili: tele (kutoka Kigiriki: kwa mbali sana) na...
  18. Television ya Taifa,TBC, Imetisha!. Yarusha Live Mbili Kwa Wakati Mmoja! Live ya Dodoma on TBC1 At the Same Time Live ya Arusha TBC2- Safari Channel

    Wanabodi Kwanza wale wenye access, Watch, TBC 1 na TBC 2...shuhudia...!. Kwa watu wasiojua what it takes kurusha matangazo ya TV live mubashara kutoka sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja, mnaweza msielewe, hapa ninashangaa nini!. Kiukweli kituo cha Television ya Taifa, TBC, kimetisha...
  19. #COVID19 Nashauri Serikali iandae mdahalo mubashara wa Television baina ya Askofu Gwajima na Waziri wa Afya ili kumaliza utata uliopo juu ya usalama wa chanjo

    Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa moja na kupitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ ili kuona nani anafaa, vivyo hivyo ifanyike kwa Askofu Gwajima na Waziri wa Afya (Serikali) ili tuweze kupata ‘consensus’ ya...
  20. J

    Gerson Msigwa: Tuko mbioni kuanzisha Televisheni ya Serikali itakayorusha Habari za Maendeleo tu

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali. Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa. Chanzo: Clouds tv
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…